Madam rita paulsen at ayo tv magazeti
Kwa miaka yote Tanzania imemjua kupitia show ya Bongo Star Search akiwa kama Jaji ambayo mara yake ya mwisho ilikua inaonekana kupitia CloudsTV, leo hii Madame Rita anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba anaingia na kwenye utangazaji.
Show hiyo mpya ya Rita Paulsen ambayo itaanza kuonekana soon kwenye AzamTV inaitwa Rita Paulsen Show au RPSnaJune 12 ndio imetajwa kuwa terehe yenyewe.
ULIIKOSA YA VANESSA MDEE KUHUSU BEEF NA SHILOLE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI
Unataka kutumiwaMSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda , msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE